Marco Tibasimaさんのプロフィール画像

Marco Tibasimaさんのイラストまとめ


Award-winning cartoonist | Illustrator | Graphic Designer | Story Writer 🇹🇿

For business: [email protected]

フォロー数:120 フォロワー数:342

Sofi amewatorosha shoga zake kutoka kwa Mti Mkavu. Hata hivyo mafuta yanawaishia njiani. UTAJUA HUJUI! Endelea kusoma BURE mkasa huu wa Hila za Mti Mkavu sehemu ya 9 kwenye app ya TIBASIMA COMICS.
Link: https://t.co/9guLUvl81W

0 0

Huu ni mwendelezo wa Hila za Mti Mkavu ikiwa hii ni namba 7 – MTUMBWI WA VIBWENGO!
Ili kusoma mkasa huo BURE mwanzo – mwisho pakua app ya TIBASIMA COMICS inayopatikana Playstore. Unakosaje fursa hii?
Link: https://t.co/9HdGeuUFla

0 1

Toleo la leo la Alkasus lipo tayari kwenye TIBASIMA COMICS app. Karibu!

1 3