Cloud Chatandaさんのプロフィール画像

Cloud Chatandaさんのイラストまとめ


Mrefu wa wastani, mpenda watu, anashaurika pale ukimshauri. Anapenda kubadirishana mawazo na watu wa jinsia yeyote. Ni msanii mchoraji. anaamini katika kazi.
cloudchatanda.blogspot.com

フォロー数:372 フォロワー数:724

Merry Christmas 🎄☺️🤗Muwe na siku njema kwenye hii sikukuu munywe kwa kiasi. sisi bado tunakimbiza kitoweo Cha sikukuu.

0 1

Lazima warejeshe vitu vyetu walivyoiba hawa wakoloni mambo Leo. Mchoro mwingine katika ule mto wa crosshatches kutoka kwa mchoraji wako .

0 4

Kibosho mambo yameanza na crosshatches za mchoraji katika maonesho ya Marejesho ya vitu vilivyoporwa na wakoloni kwa Wazee wetu.

3 7