//=time() ?>
Creative hour @NgairaM @owain_george @BabJ0N
Early Monday morning!
#creativehours #ArtMadeinTZ
@AfriYANTanzania @UNFPATanzania @JohnieZeBest Afya ya uzazi ni ile hali ya kuwa salama kimwili, kiakili, na kijamii katika masuala yote yanayohusu mvumo mzima wa uzazi.
Ni haki ya vijana, na jamii kiujumla kupatiwa ushauri, habari na huduma ya afya, ikiwemo afya ya uzazi.
Bidhaa yako inaweza kuwa bora machoni kwako lakini wateja wako wasiipende.
Jifunze kuiangalia bidhaa yako kutoka kwenye upande wa wateja wako. Au mara moja moja, waulize wateja wako wanaionaje bidhaa / huduma yako, wakupe mawazo yao.
And this is what kept me up last night.
KILICHONIKESHESHA
#MadeinTanzania
#TanzanianArt