//=time() ?>
Wanafunzi wa chuo mwaka pili, wa tatu na waliomaliza hawajui hata kuandika email, wanaandika kila kitu kwenye subject unadhani itakuwa rahisi kufikiria masuluhisho ya matatizo mengine kama hawataki kujifunza vitu vidogo hivi?
I have never felt to be this much helpless😒 https://t.co/rEDxfEsn0t