//=time() ?>
Siko seli ni ugonjwa unaosababishwa na mabadiliko katika chembe nyekundu za damu kutokana na mabadiliko ya haemoglobin.
Chembe nyekundu hubadilika na kuwa na umbo la mundu, kwa kuwa na umbo hili huzuia damu kupita katika mishipa midogo ya damu.
#ElimikaWikiendi