//=time() ?>
Ukileta suala la 'Independent Candidate' kwenye uchaguzi CCM hawataki. Leo wanachama wamevuliwa uanachama mnataka wabaki bungeni kinyume na KATIBA. Mtakuja kuendesha hii nchi na Ndumba!