Jen_さんのプロフィール画像

Jen_さんのイラストまとめ


Activist

フォロー数:851 フォロワー数:3506

Njia za kuzuia
1. Ziba mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya
2. Epuka msongamano kwa kukaa mita moja toka mtu hadi mtu.
3. Kwa wahudumu wa afya vaa mask na gloves kabla ya kumhudumia mgonjwa.
4. Nawa mikono yako kwa maji yanayotiririka na sabuni

4 9