Rubanzibwa Ndyamukamaさんのプロフィール画像

Rubanzibwa Ndyamukamaさんのイラストまとめ


Minze Malulu▪︎Bogota Bululu✌

フォロー数:1161 フォロワー数:7235

Funny phenomenon..🤣🤣

What happens is, kuna nerve inayopita hapo tokea juu kwenye uti wa mgongo all the way kwenye mkono kupitia hapo chini ya kiwiko. Inaitwa ULNAR NERVE

Moja kati ya nerves kubwa tatu za mkono. Inafanys ukunje vidole na kuhisi pia maeneo ya kiganga na mkono https://t.co/U4z9eVWHXZ

3 17