//=time() ?>
Ni kweli kwamba kukosa andiko bora la biashara hufanya vikundi vinavyoomba mkopo wa 10% wa Halmashauri kupoteza lengo na kupelekea kutumia fedha hizi kinyume na mipango? Karibu kwenye space ya @UNATanzania kupitia link hii utuambie:
https://t.co/4ORCycJVhb
#UNASpace