Kwa mujibu wa Katiba Mbunge akishahama chama basi anakoma kuwa mbunge. Hii ya Spika kumrudisha bungeni amepata wapi hayo mamlaka?. Ungana nasi kulinda katiba yetu kwa kusign petition . https://t.co/fz01q2DEnE

11 39

Kwa sasa wako deep kwenye jinsi ya kupora uchaguzi tu!wenzenu haya ya korona hawayaoni,baadae wapinzani watachoambiwa ni kuwa,walishabikia korona na kusahau uchaguzi maana mkuu alishasema upo,(mwenye akili na aelewe)

2 5

Situation kwa ground

60 63

Tunajali Sana Uhai Ndio Maana Huwezi Kutuona Road Tuki-Drive Huku Tumelewa

Ambacho Huwa Nafurahi Zaidi Wife Huniambia Baby Take Care Usinywe Na Ku Drive Kumbuka Hii Ni Gari Ya Watu Sio Yetu Hivyo Usitusabishie Matatizo Na Hasara Kwa Mwenye Gari

11 60

Weweee🔥🔥🔥🔥... Huyu apewe thao mbili kwa hiyo 100 million 😂😂😂... Noma saidi

(video courtesy)

442 1473

Njia za kuzuia
1. Ziba mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya
2. Epuka msongamano kwa kukaa mita moja toka mtu hadi mtu.
3. Kwa wahudumu wa afya vaa mask na gloves kabla ya kumhudumia mgonjwa.
4. Nawa mikono yako kwa maji yanayotiririka na sabuni

4 9

Tunaposema ccm ni muflis huwa tunamaanisha ni muflis kweli kweli! Mbatia na Poropesa alopumbaa kwenye ulingo wa siasa tulishawasahau kitambo, kwaio kuwatumia watu hawa na kudhani mumepata silaha ya kuwadhiti wapinzani kwa hakika mumeishiwa.

12 87

Coronavirus ikiendelea kusambaa kwa kasi na tukizingatia tishio la sasa, kwetu sisi mashabiki wenye chuki na wivu ni fursa kwa EPL kusitishwa kwa muda usiojulikana na Liverpool kutotwaa ubingwa.

Think about it

6 49

Jeshika, we-dong-ddal, illinoi shikago. Kwa-sun-bae-neun kim jin mo, gue-neun-ni-sa-chon 🙂

🖌️Anna Martin

3 29

Hizi mahindi zinakaa hazijaiva so tuseme ako na CornRaws kwa kichwa...😏

(You get? Yes? No? ok🚶😅)

19 92

Umepata ajali na jino limeng'oka? Jino lako linaweza kupandikizwa iwapo utafanya haya:
1. Zuia damu kutoka kwa kugandamiza sehemu inayotoa damu na kitambaa safi.

14 14

Akothee kwa hio video ya eric bro... Heh!

0 1

Random page:

“Ninadai mitishamba hii.” “Sijui…” KWA KISHINDO! “Umeijua sasa?”

https://t.co/efvRJ9FEIk

0 0

"Wakinisnipe tonight si mnajua ni kwa nini? Ntakufia watu me siogopi mtu."

33 202

test ?
tu en pense kwa?

0 0

2006 ukiload Bamba 50 kwa kabambe 🤣🤣🤣🤣.....

58 105

My name is Nhlakanipho Mkhize. I am a self-taught “hyper-realistic” sketch artist from Durban, a town based in Kwa-Zulu Natal, South Africa 🇿🇦, and this is some of my recent work. Thank you 🙏🏽

12 52

フェローズ名古屋店です!
KWA Ronin TK.45 2.5電動ガン入荷しております!
いやもう普通にカッコいい......
    

88 239

Tunauza khaki bags za kuanzia 0.5 kg, 1 kg to 5 kg.

Materials nzito na nyepesi, tunapokea oda kuanzia pieces 100, mkoani tunasafirisha.

Kwa oda, njoo DM

Please RT.

163 395