//=time() ?>
Umepata ajali na jino limeng'oka? Jino lako linaweza kupandikizwa iwapo utafanya haya: 1. Zuia damu kutoka kwa kugandamiza sehemu inayotoa damu na kitambaa safi. #AfyaSunday #Tabasamu😊