//=time() ?>
Hatuwezi jua tukinyanyaswa kama hatujui haki zetu 🤷🏾♀️. Nikielewa constitution nitajua haki zangu kama mkenya na nitaweza kudemand justice. #MakosaNiYangu