//=time() ?>
Iwepo sheria rasmi ya kumruhusu mtoto wa kike baada ya kujifungua ili aweze kupata elimu bila ubaguzi wowote na pia ilitamuondolea minyororo ya utegemezi #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi
Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa haki kwa kila mwananchi kupata huduma za kijamii bila kubaguliwa, huduma hizo ni pamoja na elimu. #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi