Iwepo sheria rasmi ya kumruhusu mtoto wa kike baada ya kujifungua ili aweze kupata elimu bila ubaguzi wowote na pia ilitamuondolea minyororo ya utegemezi

3 4

😂😂😂😂😂 this dude wueh?

Hakikisha huyu jamaa kwa vyovyote asiwaponyoke yaani! Total genius his toons are in telling the narrative. Is he on Twitter?

The 3rd toonist that impresses me!

2 6

Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa haki kwa kila mwananchi kupata huduma za kijamii bila kubaguliwa, huduma hizo ni pamoja na elimu.

6 22